Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akitoa maelezo ya awali
ya ufunguzi katika mijadala ya kuadhimisha siku Mazingira Duniani
Wilayani Butiama Mkoni Mara. Kauli mbiu ya mwaka huu ni “Mahusiano
Endelevu Kati ya Binadamu na Mazingira.”
Wanajopo wa mada ya kwanza ya
“Tanzania Bila Mkaa na Kuni Inawezekana?” kutoka kushoto ni Ndugu
Charles Meshack Mkurugenzi Mkuu, Shirika la Kuhifadhi Misitu Asili
Tanzania, Prof. Dos Santos Silayo Mkurugenzi Mkuu, Wakala wa Huduma za
Misitu Tanzania (TFS) na Eng. Estomih Sawe Mkurugenzi Mtendaji TaTEDO
(Center for Sustainable Modern Energy Initiative in Tanzania). Mjadala
unaendelea Butiama katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani.
Mjadala ukiendelelea pichani,
Wanajopo wa mada ya kwanza ya “Tanzania Bila Mkaa na Kuni Inawezekana?”
kutoka kushoto ni Ndugu Charles Meshack Mkurugenzi Mkuu, Shirika la
Kuhifadhi Misitu Asili Tanzania, Prof. Dos Santos Silayo Mkurugenzi
Mkuu, wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Bi. Maria Sarungi
(Mwendesha Mada) na Eng. Estomih Sawe Mkurugenzi Mtendaji TaTEDO (Center
for Sustainable Modern Energy Initiative in Tanzania). Kongamano
linaendelea Butiama katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Mhe. January Makamba akifuatilia mjadala katika Ukumbi wa Kanisa
Katoliki Butiama- Mara. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa
Rais Prof. Faustin Kamuzora. Mijadala mbalimbali inaendelea katika
kuadhimisha siku ya Mazingira Duniani. Kauli mbiu ya mwaka huu ni
“Mahusiano Endelevu Kati ya Binadamu na Mazingira.”
No comments :
Post a Comment