MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP
SIMON SIRRO AKISALIMIANA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA MANGWI, KATA YA
MCHUKWI WILAYANI KIBITI JANA ALIPOKWENDA KUWAPA POLE BAADA YA KUTOKEA
MAUAJI YA MWENYEKITI WA KITONGOJI NA AFISA MTENDAJI WA KIJIJI.
MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP
SIMON SIRRO AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA MANGWI, KATA YA
MCHUKWI WILAYANI KIBITI JANA ALIPOKWENDA KUWAPA POLE BAADA YA KUTOKEA
MAUAJI YA MWENYEKITI WA KITONGOJI NA AFISA MTENDAJI WA KIJIJI HICHO. IGP
SIRRO ALITUMIA FURSA HIYO KUWATAKA WANANCHI KIJIJINI HAPO KUTOWAFUMBIA
MACHO WAHALIFU WANAOTENDA MAUAJI HAYO NA KUWATAKA KUWA NA KUSHIRIKIANA
NA JESHI LA POLISI KWA KUTOA TAARIFA ZA WAHALIFU HAO.
MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP
SIMON SIRRO AKITOA RAMBIRAMBI YA MSIBA KWA WANANCHI WA KIJIJI CHA
MANGWI, KATA YA MCHUKWI WILAYANI KIBITI JANA ALIPOKWENDA KUWAPA POLE
BAADA YA KUTOKEA MAUAJI YA MWENYEKITI WA KITONGOJI NA AFISA MTENDAJI WA
KIJIJI HICHO
MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP
SIMON SIRRO AKIKAGUA NYUMBA ILIYOCHOMWA MOTO NA WAHALIFU WALIOFANYA
MAUAJI YA MWENYEKITI WA KITONGOJI NA AFISA MTENDAJI WA KIJIJI CHA
MANGWI, KATA YA MCHUKWI WILAYANI KIBITI JANA ALIPOKWENDA KUWAPA POLE
BAADA YA KUTOKEA MAUAJI HAYO. PICHA NA HASSAN MNDEME-JESHI LA POLISI.
No comments :
Post a Comment