Friday, June 30, 2017

MATUKIO KATIKA PICHA: JINSI ILIVYOKUWA KWENYE HARUSI YA LIONEL MESSI NA ANTONELLA ROCCUZZO


Lionel Messi and Antonella Roccuzzo pose for a photo out on the red carpet on Friday night
Hatimaye mshambuliaji wa timu ya Barcelona Lionel Messi amefunga ndoa na mpenzi wake wa utotoni ambaye tayari alikuwa amezaa naye watoto wawili anayeitwa  Antonella Roccuzzo huku mastaa mbalimbali wamehudhuria harusi hiyo
Messi and his new bride lock lips as they celebrate tying the knot at the Rosario ceremony
The pair walked out to greet the cameras after marrying at the City Center Rosario complex
Former Barcelona players 
Luis Suarez and his wife Sofia Balbi flash smiles to the camera having attended the wedding
Barcelona's Sergio Busquets was present for Messi's wedding out in Argentina on Friday night
Barcelona defender Jordi Alba was among the 250 guests in attendance for Messi's marriage
PSG winger Angel Di Maria was there to support his Argentina team-mate Messi on his big day
Al-Sadd midfielder Xavi poses with wife Nuria Cunillera as they arrived ahead of the wedding
Former Barcelona captain Puyol holds hands with his stunning wife Vanessa Lorenzo
Sergio Aguero looked delighted as the striker turned up on Friday with girlfriend Karina Tejeda 
Hebei China Fortune star Ezequiel Lavezzi plays with Messi for the Argentina national team
Javier Mascherano (right) with wife Fernanda, Lavezzi (centre) and actor Nicolas Vazquez
Aguero was among the guests invited to Messi's wedding at the City Center Rosario complex
Cesc Fabregas and Daniella Semaan looked in good spirits as they walked on the red carpet
Chelsea midfielder Fabregas left Barcelona to join the Stamford Bridge club in 2014
Messi offers a thumbs up to the camera after tying the knot at the glitzy wedding ceremony
Messi will marry childhood sweetheart Antonella Roccuzzo in the ceremony on Friday night
An aerial view of the City Center Rosario in Santa Fe where Messi's wedding is taking place
The Rosario venue comes complete with a five-star hotel and spa as well as its own casino
Messi and his wife-to-be have two children together – Thiago (aged 4) and Mateo (aged 1)

MAMIA WAFURIKA ILI KUJIPATIA VITAMBULISHO VYA TAIFA KATIKA BANDA LA NIDA VIWANJA VYA SABASABA

1
Bi. Rose Mdami Mkuu wa Kitengo cha Mawasiiano Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA akiwahudumia wateja mbalimbali waliofika katika banda la Mamlaka hiyo ili kupata huduma ya kupatiwa vitambulisho vya taifa katika maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) yanayofanyika kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam.
2 3
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA wakitoa huduma kwa wananchi mbalimbali waliofika katika banda hilo ili kupatiwa vitambulisho vya taifa leo.
4
Wananchi mbalimbali wakiwa wamefurika kwenye banda la Mamlaka ya Vitambulisho vya taifa NIDA katika maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) yanayofanyika kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam.
5
Baadhi ya wafanyakazi wa mamlaka hiyo wakiendelea na kutoa huduma katika banda hilo.

WATEJA WAMIMINIKA KWENYE BANDA LA LAPF KATIKA MAONYESHO YA TANTRADE VIWANJA VYA SABASABA BARABARA YA KIRWA JIJINI DAR ES SALAAM


1
Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe akizungumza na waandishi wa habari waliotembelea katika banda la mfuko huo kwenye maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) yanayofanyika kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam.
2 3
Bw. Emmanuel Maishaa Afisa Matekelezo Kanda ya Dar es Salaam akihojiwa na waandishi wa habari wa kituo cha Luninga cha Chanel Ten waliotembelea katika banda hilo.
4
Bw. Juma Milinga Afisa Matekelezo Mwandamizi LAPF akihojiwa na waandishi wa habri wa Chanel Tena ili kuelezea mafao mbalimbali yanayotolewa na mfuko huo katika maonyesho ya Sabasaba barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam.
5
Kushoto  ni Simboninsia Ndosi Afisa Mafao Mwandamizi LAPF  akizungumza na waandishi wa habari waliotembelea banda hilo kulia ni Sophia Matangalu Ofisa Mafao  LAPF wakiwa katika maonyesho hayo ili kutoa maelezo mbalimbali kwa wateja wanaotembelea kwenye banda hilo.
6
Afisa Matekelezo LAPF Bi. Agness William akitoa maelezo kwa  wateja mbalimbali wanaotembelea katika banda hilo wakati huu wa maonyesho ya sabasaba kwenye viwanja vya TANTRADE Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam.
7
Bw. John Mwita Afisa Matekelezo Kanda ya Dar es salaam akitoa maelezo kwa baadhi ya wateja waliotembelea katika banda hilo.
8
Afisa Mwandamizi wa Mawasiliano LAPF Bi. Rehema Mkamba akijadiliana jambo na Agness William Afisa Matekelezo.
9
Baadhi ya wateja wakipata maelezo mbalimbali wakati walipotembelea banda la LAPF katika maonyesho ya Sabasaba yanayofanyika Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam
10
Afisa Matekelezo wa Mfuko wa LAPF Bi. Agnes William akihijiwa na Hajra Kondo mwandishi wa kituo cha Televisheni cha TV 1 wakati waandishi hao walipotembelea katika banda hilo.

TRA YAONGEZA MUDA WA KULIPIA KODI ZA MAJENGO MPAKA JULAI 15/2017


index

WATEJA WA TIGO KUFURAHIA MAWASILIANO YA BURE KWA MWAKA MZIMA

 
Kaimu Meneja wa Huduma za Masoko wa Tigo William Mpinga akiongea na waandishi wa habari wakati wa mwendelezo wa uzinduzi ‘Jaza Ujazwe Ujaziwe zaidi’ Pichani kushoto ni Mkaguzi wa michezo ya kubahatisha Tanzania, Bakari Majjid na kulia Mchekeshaji Lucas Mhavile JOTI.
Meneja wa Mawasiliano Tigo, Woinde Shisael akielezea jambo wakati wa uzinduzi wa J’aza Ujazwe Ujaziwe zaidi’ jijini Dar Es Salaam leo
 Waandishi wa habari wakichukua matukio wakati wa mkutano huo mapema leo.
 ………………………………………………………………….
Kampuni inayoongoza maisha ya kidigitali, Tigo Tanzania, leo Tarehe 30Juni 2017, imezindua

RC KILIMANJARO, MHE. ANNA NGWIRA, AIPONGEZA PSPF KWA KUENDESHA MAFUNZO KW WASTAAFU WATARAJIWA





Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Anna Mghwira, (kulia), akipokea kadi ya uanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kupitia mpango wa hiari, (PSS), kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, wakati wa semina ya wastaafu watarajiwa mkoani Kilimanjaro Juni 30, 2017.

 Bw. Mayingu akitoa hotuba yake
 Mhe. Anna Ngwira, Mkuu wa Mkaow a Kilimanjaro, akionyesha kadi yake ya uanachama wa PSPF kupitia mpango wa PSS

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira,akiagana na wanachama wasitaafu watarajiwa,wa mfuko wa pesheni wa PSPF,mara baada ya kufungua semina hiyo Mkoa wa Kilimanjaro Juni 30, 2017

Baadhi ya wastaafu watarajiwa wakiwa kwenye semina ya mafunzo iliyoandaliwa na PSPF mkoani Kilimanjaro
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa PSPF
 Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa semina hiyo
Baadhi ya wastaafu watarajiwa wakiwa kwenye semina ya mafunzo iliyoandaliwa na PSPF mkoani Kilimanjaro

PATA HABARI TOKA MAGAZETI YA LEO TZ NA NJE JULAI MOSI, 2017