Mwakilishi kutoka Shirika la Umoja
wa Mataifa linaloshughulikia Watoto Duniani (UNICEF) Bibi. Stephenie
Shanler akizungumza na washiriki wa mkutano maalum (hawapo pichani) wa
utoaji elimu juu ya Haki za watoto wakimbizi unaoendelea kwa siku mbili
mkoani Kigoma.
Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa
Mataifa linaloshughulikia Wakimbizi Duniani (UNICEF) Bw. Raymond
Chikwanda akifafanua jambo kwa washiriki wa mkutano maalum(hawapo
pichani) wa utoaji elimu juu ya Haki za watoto wakimbizi unaoendelea
kwa siku mbili mkoani Kigoma.
Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw.
Rabikira Mushi akizungumza katika mkutano maalum ulioandaliwa na UNICEF
na UNHCR kwa ajili ya kutoa elimu kuhusu Haki za watoto wakimbizi kwa
washiriki kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na
Watoto,Wizara ya Mamboya Ndani, Ofisi ya Waziri Mkuu, na Taasisi na
Mashirika yanayotetea Haki za Watoto nchini leo Mei 31,2017 mkoani
Kigoma.
Afisa Ustawi wa Jamii Mwandamizi
kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto
Bw.Darius Damas akifafanua jambo kwa washiriki wa mkutano maalum(hawapo
pichani) wa utoaji elimu juu ya Haki za watoto wakimbizi unaoendelea
kwa siku mbili mkoani Kigoma.
Baadhi ya washiriki kutoka Wizara
ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto ,Wizara ya Mamboya
Ndani, Ofisi ya Waziri Mkuu, na Taasisi na Mashirika yanayotetea Haki za
Watoto nchini wakifuatilia mkutano maalum wa utoaji elimu juu ya Haki
za watoto wakimbizi unaofanyika mkoani Kigoma.
Picha zote na Raymond Mushumbusi MAELEZO Dodoma.
No comments :
Post a Comment