Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 22
wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, wakifatilia Mkutano huo wakati Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB PLC, Dk. Charles Kimei akitoa taarifa ya
matokeo ya utendaji wa Benki hiyo pamoja na Kampuni zake Tanzu kwa mwaka
uliopita. Mkutano huo unafanyika leo Mei 20, 2017 kwenye Ukumbi wa
Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa
cha AICC, Jijini Arusha.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB PLC, Dk. Charles Kimei akiwasilisha taarifa
ya matokeo ya utendaji wa Benki hiyo pamoja na Kampuni zake Tanzu kwa
mwaka uliopita, katika Mkutano Mkuu wa 22
wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, unaofanyika leo Mei 20, 2017 kwenye Ukumbi
wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa
cha AICC, Jijini Arusha.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Benki ya CRDB PLC, Ally Hussein Laay akiwasilisha taarifa ya
Mwaka na Matokeo ya Kifedha ya Benki hiyo pamoja na Kampuni zake Tanzu
kwa mwaka ulioishia Disemba 2016, katika Mkutano Mkuu wa 22
wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, unaofanyika leo Mei 20, 2017 kwenye Ukumbi
wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa
cha AICC, Jijini Arusha.
Meza kuu katika katika Mkutano Mkuu wa 22
wa Wanahisa wa Benki ya CRDB.
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambwa akitoa muongozo kwa wajumbe wa Mkutano huo, unaofanyika leo Mei 20, 2017 kwenye Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa
cha AICC, Jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, Abeid Mwasajone akisisitiza jambo kwa wajumbe wa Mkutano huo, unaofanyika leo Mei 20, 2017 kwenye Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa
cha AICC, Jijini Arusha.
No comments :
Post a Comment