Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akikagua matrekta aina ya URSUS yanayounganishwa katika
karakana ya TAMCO mjini Kibaha Mei 23, 2017. Wengine pichani kutoka kulia
kutoka kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa NDC Mlingi Elisha Mkucha, Waziri wa Viwanda,
Biahara na Uwekezaji, Charles Mwijage, Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evaresti,
Ndikilo na kulia kwake ni Mbunge wa Kibaha mjini Silvestry Koka. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Bagamoyo wakati alipotembelea
eneo la uwekezaji la Kamal Industrial Estate lililopo Kerege mkoani Pwani Mei
23, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya viongozi, wabunge na wananchi
waliohudhuria wakati alipotembelea eneo la uwekezaji la Kamal Industrial Estate
lililopo Kerenge, Bagamoyo Mei 23, 2017. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Mkuu wa
Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo akizungumza wakati Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa alipotembelea eneo la uwekezaji la Kamal Industrial Estate lililopo
Kerege Bagamoyo Mei 23, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment