Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
amekutana na Mabalozi Wanane waTanzania Walioteuliwa hivi karibuni,
Ambao Walifika Ofisini kwake Mjini Dodoma 21/April/2017 kumuaga kwa
ajili ya kwenda Kuanza Kazi ya kuiwakilisha Tanzania katika nchi
walizo pangiwa
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment