Saturday, April 29, 2017

WAFANYABIASHARA DAR WANUFAIKA NA MAFUNZO YA KIJASIRIAMALI


Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Spora Liana akizungumza kufungua mkutano wa wafanyabiashara wa Dar es Salaam "NMB Business Club' waliokutanishwa na benki hiyo jana jijini Dar es Salaam kwa lengo la kutoa mafunzo ya biashara pamoja na kodi ili kukuza biashara zao.
Afisa Mkuu wa NMB Kitengo cha Wateja wadogo na wakati, Abdulmajid Nsekela (kulia) akizungumza kwenye mkutano wa wafanyabiashara wa '"NMB Business Club' waliokutanishwa na NMB jana jijini Dar es Salaam kwa lengo la kutoa mafunzo ya biashara pamoja na kodi ili kukuza biashara zao.
Afisa Mkuu wa NMB Kitengo cha Wateja wadogo na wakati, Abdulmajid Nsekela akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) kwenye mkutano wa wafanyabiashara wa "NMB Business Club' waliokutanishwa na NMB jana jijini Dar es Salaam kwa lengo la kutoa mafunzo ya biashara pamoja na kodi ili kukuza biashara zao. Takribani wafanyabiashara zaidi ya 500 walishiriki mkutano huo wa mafunzo ya biashara jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa NMB Business Club Mkoa wa Dar es Salaam, Ezekiel Gutti akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) kwenye mkutano wa wafanyabiashara wa '"NMB Business Club' waliokutanishwa na NMB jana jijini Dar es Salaam kwa lengo la kutoa mafunzo ya biashara pamoja na kodi ili kukuza biashara zao. Takribani wafanyabiashara zaidi ya 500 walishiriki mkutano huo wa mafunzo ya biashara jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya wafanyabiashara walioshiriki mkutano huo.
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es salaam na Pwani, Vick Bishubo (kulia) akizungumza kwenye mkutano wa wafanyabiashara wa Dar es Salaam "NMB Business Club' waliokutanishwa na benki hiyo jana jijini Dar es Salaam kwa lengo la kutoa mafunzo ya biashara pamoja na kodi ili kukuza biashara zao.
Afisa Mkuu wa NMB Kitengo cha Wateja wadogo na wakati, Abdulmajid Nsekela (kulia) akizungumza kwenye mkutano wa wafanyabiashara wa '"NMB Business Club' waliokutanishwa na NMB jana jijini Dar es Salaam kwa lengo la kutoa mafunzo ya biashara pamoja na kodi ili kukuza biashara zao.

No comments :

Post a Comment