Mkurugenzi
wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu wa Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi. Jane Kajiru akitoa maelekezo ya
kumchagua mfanyakazi bora wa ofisi wa mwaka 2017.
Wawakilishi
wa wafanyakazi bora wa Idara/Vitengo vya Ofisi ya Rais-Utumishi
wakiongozwa na Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa
Rasilimaliwatu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi.
Jane Kajiru wakishuhudia kura zikihesabiwa ili kumpata mfanyakazi bora
wa ofisi wa mwaka 2017.
Watumishi
wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakisikiliza
maelekezo ya uchaguzi wa mfanyakazi bora wa ofisi wa mwaka 2017
uliofanyika leo katika ofisi hiyo.
No comments :
Post a Comment