Wednesday, April 19, 2017

TUME YA KUREKEBISHA SHERIA YAENDESHA MKUTANO WA WADAU KUHUSU MAPITIO YA SHERIA ZINAZOHUSIANA NA USAJILI WA MATUKIO MUHIMU YA BINADAMU TANZANIA BARA


unnamed
Mmoja wa washiriki akichangia wakati wa mkutano wa wadau kuhusu Mapitio ya Sheria zinazohusiana na Usajili wa Matukio Muhimu ya Binadamu Tanzania Bara
a
Sehemu ya washiriki  wa mkutano wa wadau kuhusu Mapitio ya Sheria zinazohusiana na Usajili wa Matukio Muhimu ya Binadamu Tanzania Bara
a 1
 Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Mhe. Jaji Aloysius Mujuliza (Kulia) akisisitiza jambo wakati mkutano wa wadau kuhusu Mapitio ya Sheria zinazohusiana na Usajili wa Matukio Muhimu ya Binadamu Tanzania Bara, kushoto ni Bw. Albert Msangi

No comments :

Post a Comment