Meneja Masoko wa
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Idara ya Kuunganisha Wateja Afrika
Mashariki, George Kavishe (kulia), akizungumza na waandishi wa habari
Dar es Salaam leo, wakati wa uzinduzi wa kampeni
ijulikanayo, ‘Castle Lite Unlocks’. Kushoto ni Meneja Chapa Msaidizi wa
Bia Laini Tanzania, Isaria Kilewo na katikati ni Meneja Masoko wa TBL Kitengo cha Bia Laini Afrika Mashariki, Amou Majok.
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment