Friday, April 21, 2017

POLEPOLE AANZA KUZITEMBELEA HALMASHAURI ZA MANISPAA ZA DAR

POL
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole, leo ameanza ziara ya kutembelea Halmashauri za Manispaa za Jiji la Dar es Salaam kwa kuanzia Ilala.
Ziara yake hiyo itampeleka pia Kigamboni, Temeke, Ubungo na Kinondoni kabla ya kuelekea katika mikoa mingine nchini.

No comments :

Post a Comment