Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kahama mjini , Jumanne
Kishimba kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Aprili 27, 2017. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge wa Chama cha CUF kwenye
viwanja vya bunge mjini Dodoma Aprili 27, 2017. Kutoka kulia ni Riziki
Mngwali wa Viti Maalum, Saed Kubenea wa Ubungo, Juma Kombo Hamad wa
Wingwi, Abdaallah Mtolea wa Temeke na Haji Khatib Said wa Konde. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Pages
Friday, April 28, 2017
KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) wakifurahia kuona medali ya
dhahabu aliyoivaa Mwanaridha Alphonce Simbu ambayo aliinyakuwa katika
mashindano ya Mumbai Marathon nchini India na tuzo aliyoipata hivi
karibuni baada ya kushika nafasi ya tano katika mashindano ya London
Marathon. Waziri Mkuu alikutana na mwanariaha huyo kwenye viwanja vya
bunge mjini Dodoma Aprili 27, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment