Saturday, April 29, 2017

DKT.SHEIN AZINDUA MSIKITI, MASJID MADINATUL MUNAWARA -DONGE KITALUNI.


Wanafunzi wa kikundi cha dufu katika Kijiji cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo,wakimuongoza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) wakati alipofika kuuzindua  Msikiti, Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji hicho leo Aprili 28, 2017. Msikiti huo umejengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki aliyeko Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi. (PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuuzindua Msikiti huo.

 Msikiti wa Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge Kitaluni  Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai ambapo umezinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,chini ya Usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Donge,pia Waziri wa Fedha na Mipango Mhe,Dkt.Khalid Salum Mohamed wakati alipowasili katika viwanja vya Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge Kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo alipofika kuuzindua msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi wakati alipowasili katika viwanja vya Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge Kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo alipofika kuuzindua msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe,Vuai Mwinyi Mohamed wakati alipofika kuuzindua wasili Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge Kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo, uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Serikali na na Waislamu wa Dini ya Kiislamu wakiwa katika Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji  cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja,katika sherehe za Uzinduzi wa msikiti huo
Baadhi ya Waislamu na Wananchi walioalikwa katika sherehe za Uzinduzi wa Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji  cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea Funguo za Msikiti kutoka Msimamizi wa Ujenzi wa Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji  cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe,Mohamed Raza Daramsi (kushoto) baada ya Uzinduzi ulifanyika leo Kijijini hapo,Msikiti huo  umejengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai

4 comments :

  1. Here at Karanpccrack, you will get all your favourite software. Our site has a collection of useful software. That will help for your, Visite here and get all your favourite and useful software free.
    YTD Video Downloader Pro Crack

    ReplyDelete
  2. I am very thankful for the effort put on by you, to help us, Thank you so much for the post it is very helpful, keep posting such type of Article.
    Metric Foldersizes Enterprise Crack
    Ableton Live Crack

    ReplyDelete
  3. I guess I am the only one who comes here to share my very own experience guess what? I am using my laptop for almost the past 2 years.


    rhinoceros-crack-license-key



    redshift-render Crack



    xmind Crack



    imagenomic-portraiture Crack

    ReplyDelete