Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel Tanzania Benoit Janin akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi
wa mtandao wenye kasi zaidi wa 4G na huduma za kibenki zinazofuata
kanuni za kiislamu zitakazotolewa kwa njia ya simu na Kampuni ya Zantel
kwa kushirikiana na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) kisiwani Pemba.
KushotoniMkuu wa Zantel-Zanzibar, Mohamed Musa Baucha.Hafla hiyo ilifanyika katikati ya wiki Kisiwani Pemba.
Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kibenki zinazofuata misingi ya Kiislamu wa Benki yaWatu wa Zanzibar (PBZ) Said Mohamed Said akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi
wa mtandao wenye kasi zaidi wa 4G na huduma za kibenki zinazofuata
kanuni za kiislamu kwa njia ya simu zitakazotolewa na Kampuni ya Zantel
kwa kushirikiana na Benki hiyoKisiwani Pemba. (wa pili kulia) ni Naibu
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji wa Serikali ya Mapinduzi
ya Zanzibar Mhe. Mohamed Ahmada Salum. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel Tanzania Benoit Janin
pamoja na Mkuu wa Zantel-Zanzibar, Mohamed Musa Baucha. Hafla hiyo ilifanyika katikati ya wiki Kisiwani Pemba.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Mohamed Ahmadaakizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi
wa mtandao wenye kasi zaidi wa 4G na huduma za kibenki zinazofuata
kanuni za kiislamu zitakazotolewa kwa njia ya simu na Kampuni ya Zantel
kwa kushirikiana na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) kisiwani Pemba.
KatikatiniMkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel
Tanzania Benoit Janin na kushoto ni Mkuu wa Zantel-Zanzibar, Mohamed Musa Baucha.Hafla hiyo ilifanyika katikati ya wiki Kisiwani Pemba.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Mohamed Ahmada (wa pili kushoto)na Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kibenki zinazofuata misingi ya Kiislamu wa Benki ya watu wa Zanzibar (PBZ) Said Mohamed Said wakizindua huduma
za mtandao wenye kasi zaidi wa 4G wa Zantel na huduma za kibenki
zinazofuata kanuni za kiislamu zitakazotolewa kwa njia ya simu na
Kampuni hiyo kwa kushirikiana na Benki hiyo kisiwani Pemba.
Wanaoshughudia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mawasiliano ya
Zantel Tanzania Benoit Janin
(kushoto) na Mkuu wa Zantel-Zanzibar, Mohamed Musa Baucha.Hafla hiyo ilifanyika katikati ya wiki Kisiwani Pemba.
(kushoto) na Mkuu wa Zantel-Zanzibar, Mohamed Musa Baucha.Hafla hiyo ilifanyika katikati ya wiki Kisiwani Pemba.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel Tanzania Benoit Janin (wa pili kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kibenki zinazofuata misingi ya Kiislamu wa Benki ya watu wa Zanzibar (PBZ) Said Mohamed Said wakipongezana mara baada ya uzinduzi wa
mtandao wenye kasi zaidi wa 4G na huduma za kibenki zinazofuata kanuni
za kiislamu zitakazotolewa kwa njia ya simu na Zantel kwa kushirikiana
na PBZ kwa wananchi wa kisiwani Pemba. Wanaoshuhudia niNaibu Waziri wa
Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
Mhe. Mohamed Ahmada (katikati), Mkuuwa Zantel-Zanzibar, Mohamed Musa Baucha (kushoto) na Meneja wa Benki ya Watu wa Zanzibar-Pemba, Mohamed Musa.Hafla hiyo ilifanyika katikati ya wiki Kisiwani Pemba.
Naibu
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji wa Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar Mhe. Mohamed Ahmada (wa tatu kushoto) akifurahia jambo na
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel Tanzania Benoit
Janin (wa pili kushoto),Mkuu wa Zantel-Zanzibar, Mohamed Musa Baucha (kushoto) Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kibenki zinazofuata misingi ya Kiislamu wa Benki ya watu wa Zanzibar (PBZ) Said Mohamed Said (wa pili kulia) na Meneja wa Benki
ya watu wa Zanzibar-Pemba,Mohamed Musa (kulia) mara baada ya kuzindua mtandao wenye kasi zaidi wa 4G na huduma za kibenki zinazofuata kanuni za kiislamu zitakazotolewa kwa njia ya simu na Kampuni ya Zantel kwa kushirikiana na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) kisiwani Pemba. Hafla hiyo ilifanyika katikati ya wiki Kisiwani Pemba.

Mkurugenzi
wa Mikakati na Utendaji wa biashara wa Kampuni ya Zantel, Shinuna
Kassimakifafanua jambo kwa vyombo vya habari mara baada ya uzinduzi
rasmi wa mtandao wenye kasi zaidi wa 4G na huduma za kibenki zinazofuata
kanuni za kiislamu zitakazotolewa kwa njia ya simu na Kampuni ya Zantel
kwa kushirikiana na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) kwa wananchi wa
kisiwani Pemba. Pamoja nae niMkuu wa Zantel-Zanzibar, Mohamed Musa Baucha.Hafla hiyo ilifanyika katikati ya wiki Kisiwani Pemba.
Wachekeshaji kutoka kikundi cha Jufe-Pembawakiwa kwenye picha ya pamoja na Meneja Rasilimali
watu wa Zantel-Zanzibar Bw. Omar H. Omar wakati wa hafla ya uzinduzi wa mtandao wenye kasi zaidi wa 4G na huduma za kibenki zinazofuata kanuni za kiislamu zitakazotolewa kwa njia ya simu na Kampuni ya Zantel kwa kushirikiana na Benki
ya Watu wa Zanzibar (PBZ) kwa wananchi wa kisiwani Pemba.Hafla hiyo ilifanyika katikati ya wiki Kisiwani Pemba.

……………….
Kampuni
ya mawasiliano ya ZANTEL imezindua mtandao wenye kasi zaidi wa 4G
sambamba na huduma za kibenki zinazozingatia kanuni za kiislamu kwa njia
ya simu ikiwa ni hatua ya kuboresha na kupanua huduma zake kwa wateja.
Katika
hatua ya kuboresha huduma za kibenki kwa njia ya simu, Zantel
imeshirikiana na BENKI ya watu wa Zanzibar (PBZ) katika kuhakikisha
wateja wake wanapata huduma zote za kibenki kama vile kuweka au kutoa
fedha, mikopo, kulipia ankara zao za huduma mbalimbali kama vile maji,
umeme au kununua vocha za simu n.k.
Akizindua huduma hizo kisiwani mwishoni mwa wiki kisiwani Pemba, Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji wa
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Mohamed Ahmada alisema huduma hizo kutoka Zantel zimekuja katika wakati muafaka kwa wananchi wa Pemba na kuongeza kuwa yeye na Wizara yake wanaendelea kufanya kazi kwa ukaribu na mitandao mingine ya simu katika kuhakikisha huduma za simu zinaboreshwa zaidi visiwani humo.

“Uzinduzi
wa huduma ya mtandao wenye kasi zaidi wa 4G sambamba na huduma ya
kibenki kwa njia ya simu ni vitu ambavyo wananchi wa Pemba wamekua
wakivisubiria kwa muda mrefu. Niipongeze Kampuni ya mawasiliano ya
Zantel kwa kulitambua jambo hili na kulifanyia kazi kwa haraka” alisema.
Kwa
upande wake Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin amesema uzinduzi wa
huduma hizo mpya ni moja kati ya jitihada zinazofanywa na kampuni yake
katika kutoa huduma zenye ubora nchini ili kutimiza mahitaji mbalimbali
ya wateja wao.
ya wateja wao.
Aliongeza
kuwa huduma ya kibenki kwa njia ya simu za mkononi imewalenga watu wote
ila zaidi ikiwa ni jamii ya kiislamu kwani inazingatia kanuni na
misingi yote ya kiislamu wakati wa utoaji wa huduma. “Pamoja
na kurahishisha huduma za kibenki huduma kwa njia ya simu, huduma hii
pia itasaidia kuokoa muda, ni huduma rafiki kwa kila mtu na yenye
usalama mkubwa” alisema Benoit.
Kwa
mujibu wa Taarifa za Benki kuu ya Tanzania (BoT) ni kuwa watumiaji wa
huduma za kifedha kupitia simu za mikononi wamefanya miamala yenye
thamani ya bilioni 988.9 katika kipindi cha pili cha mwaka jana,huku
mitandao ya simu ikigeuka kuwa njia muhimu katika miamala ya malipo
mbalimbali.
Janin
aliendelea kuwahakikishia wateja wa Zantel kuwa kampuni ya Zantel
imekuwa katika ushindani kwa muda mrefu na kuwa bado wanaendelea
kuwekeza ili kuhakikisha wateja wake wanapata huduma bora zaidi kwa
kiwango kikubwa na teknolojia bora zaidi.
“Tutaendelea
kufikisha huduma hizi kwenda sehemu mbalimbali za hapa nchini, huu ni
mwanzo tu kwa wateja wa Zantel ningependa wategemee mambo mazuri zaidi”.
Kampuni ya Mawasiliano ya simu ya Zantel, inaongoza kwa asilimia 80 kwenye soko la mitando ya simu kwa
Zanzibar na ndiyo kampuni ya kwanza kutambulisha huduma za kibenki kwa njia ya simu hapa nchini.
Zanzibar na ndiyo kampuni ya kwanza kutambulisha huduma za kibenki kwa njia ya simu hapa nchini.
Ni
hivi karibuni tu ambapo, Zantel kwa kushirikiana na Baraza kuu la
Waislamu Tanzania (BAKWATA) walizindua huduma mpya ya “Zantel Madrasa”
inayolenga kutoa mafundisho ya dini na kuwaunganisha wadau wa dini hiyo
kujifunza zaidi juu ya uislamu kwa kupitia simu zao za mikononi au
kujipatia jumbe mbalimbali na mawaidha ya kiislamu kwa kutuma ujumbe
mfupi wa maneno kwenda namba 15586.
No comments :
Post a Comment