Meneja wa masoko na uhusiano wa mfuko wa LAPF ndugu James Mlowe (katikati) akieleza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini leo kuhusu mkutano mkuu wa Tisa wa wanachama na wadau wa LAPF utakaofanyika jijini Arusha kuanzia tarehe 09-10 Machi 2017 katika ukumbi wa kimataifa wa AICC. Kutoka kushoto ni afisa mwandamizi wa masoko na uhusiano Bi. Rehema Makamba, na wa kulia ni meneja wa takwimu na hadhari na tathmini ndugu Abubakar Ndwata
Kutoka KULIA ni meneja wa takwimu na hadhari na tathmini ndugu Abubakar Ndwata akielezea mafanikio makubwa ya mfuko wa LAPF kwa mwaka wa fedha wa 2015/2016 ukilinganisha na mwaka wa fedha wa 2014/2015 na wa kulia ni Meneja wa masoko na uhusiano wa mfuko wa LAPF ndugu James Mlowe Waandishi wa habari wakiwa kazini wakati Meneja wa masoko na uhusiano wa mfuko wa LAPF ndugu James Mlowe na meneja wa takwimu na hadhari na tathmini ndugu Abubakar Ndwata wakitoa mada ya mkutano wa tisa wa wanachama na wadau wa MFUKOWaandishi wa habari wakimsikiliza Meneja wa masoko na uhusiano wa mfuko wa LAPF ndugu James Mlowe
No comments :
Post a Comment