Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na mgeni wake Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti
cha China(CPC) Bw.Guo Jinlong alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa
na Ujumbe aliofuatana nao.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifuatana na mgeni wake Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti
cha China(CPC) Bw.Guo Jinlong alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa
na Ujumbe aliofuatana nao.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na mgeni wake Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti

cha China(CPC) Bw.Guo Jinlong (wa tatu kulia) alipofika Ikulu Mjini
Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao,[Picha na
Ikulu.]23/03/2017.
No comments :
Post a Comment