Baadhi
ya wazazi ambao watoto wao wamekwenda nchini Israel kwa ajili ya
matibabu ya magonjwa ya moyo wakifuatilia kwa karibu mkutano wa
waandishi wa Habarai uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI).
Kaimu Mkurugenzi wa Huduma ya Uuguzi kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert Mallya akiwaongoza watoto
wanaokweda kutibiwa magonjwa ya moyo nchini Israel kuingia kwenye gari kwa ajili ya kwenda uwanja wa ndege kuanza
safari ya kuelekea nchini humo. Serikali kupitia JKCI kwa kushirikiana na Serikali ya Israel kupitia Taasisi ya Save Child Heart imewapeleka watoto nane (8) nchini humo kwa ajili ya matibabu ya moyo.
wanaokweda kutibiwa magonjwa ya moyo nchini Israel kuingia kwenye gari kwa ajili ya kwenda uwanja wa ndege kuanza
safari ya kuelekea nchini humo. Serikali kupitia JKCI kwa kushirikiana na Serikali ya Israel kupitia Taasisi ya Save Child Heart imewapeleka watoto nane (8) nchini humo kwa ajili ya matibabu ya moyo.
Wataalamu
wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ,
ndugu na watoto wanaokwenda kutibiwa nchini Israel wakiwa katika picha
ya pamoja kabla ya kuanza kwa safari ya watoto hao ya kuelekea nchini
humo kwa ajili ya
matibabu ya moyo.
matibabu ya moyo.
Mkutano
na waandishi wa Habari kuhusu watoto nane wanaokwenda kutibiwa
magonjwa ya moyo nchini Israel ukiendelea leo katika ukumbi wa mikutano
wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) . Serikali kupitia JKCI kwa
kushirikiana na Serikali ya Israel kupitia Taasisi ya Save Child Heart
imewapeleka watoto nane (8) nchini Israel kwa ajili ya matibabu ya
moyo.
Daktari
Bingwa wa Upasuaji wa Moyo kwa watoto kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya
Kikwete (JKCI) Godwin Sharau akiongea na waandishi wa habari kuhusu
watoto nane wanaokwenda nchini Israel kwa ajili ya matibabu ya moyo.
Hili ni kundi la nne la watoto kwenda kutibiwa nchini humo tangu mwaka
2015 ambapo JKCI ilianza ushirikiano na Taasisi ya Save Child Heart ya
kuwapeleka wagonjwa nchini Israel hadi sasa watoto 40 wameshatibiwa na
wanaendelea vizuri. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi
wa Huduma ya Uuguzi Robert Mallya.
wa Huduma ya Uuguzi Robert Mallya.
No comments :
Post a Comment