Wednesday, March 29, 2017

MACHA ATEULIWA KUGOMBEA UBUNGE AFRIKA MASHARIKI


N
Katibu wa Sekretarieti ya Halmashauri ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Anamringi Issay Macha, ambaye ameteuliwa leo na Kamati Kuu ya CCM, kugombea Nafasi ya Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki.

No comments :

Post a Comment