Monday, March 27, 2017

KATIBU MKUU IKULU MPYA ALPHAYO KIDATA AANZA KAZI RASMI LEO


kid1
Katibu Mkuu Ikulu mpya Mhe Alphayo Kidata akisaini katika kitabu cha wageni baada ya kuwasili ofisini kwake
 kuanza kazi rasmi leo. Pamoja naye ni Katibu Mkuu Ikulu Mstaafu Mhe Peter Ilomo ambaye alimkabidhi rasmi ofisi 
katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2017
kid2
Katibu Mkuu Ikulu mpya Mhe Alphayo Kidata akilakiwa na Katibu Mkuu Ikulu Mstaafu Mhe Peter 
Ilomo alipofika kukabidhiwa ofisi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2017
PICHA NA IKULU

No comments :

Post a Comment