Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya
Bunge ya Miundombinu Profesa Norman Sigara ‘King’ (katikati)
akijadiliana jambo na mmoja wa wajumbe wa kamati hiyo wakati walipokagua
maendeleo ya ujenzi wa barabara za juu (TAZARA Flyover), Jijini Dar es
Salaam.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi
na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani (Wa tatu kushoto) akifafanua jambo
kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakati kamati
hiyo ilipokagua maendeleo ya ujenzi wa barabara za juu (TAZARA Flyover),
Jijini Dar es Salaam.
Mhandisi msimamizi wa ujenzi wa
barabara za juu (Tazara Flyover), Eng. Kiyokazu Tsuji (katikati), akitoa
maelezo ya ujenzi wa barabara za juu (TAZARA Flyover) kwa kamati ya
kudumu ya Miundombinu wakati kamati hiyo ilipotembelea kukagua maendeleo
ya ujenzi huo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani na Kulia ni Mwenyekiti wa
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Profesa Norman Sigala ‘King’.
Mhandisi msimamizi wa ujenzi wa
barabara za juu (Tazara Flyover), Eng. Kiyokazu Tsuji (katikati) akitoa
maelezo ya ujenzi wa barabara za juu (TAZARA Flyover), kwa kamati ya
kudumu ya Miundombinu wakati kamati hiyo ilipotembelea kukagua maendeleo
ya ujenzi huo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani na Kulia ni Mwenyekiti wa
kamati ya kudumu ya Miundombinu Profesa Norman Sigala King.
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya
Bunge ya Miundombinu Profesa, Norman Sigara “King” (Kushoto),
akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Eng. Edwin Ngonyani (katikati), wakati kamati hiyo ilipokagua maendeleo
ya ujenzi wa barabara za juu (TAZARA Flyover), Jijini Dar es salaam.
Picha na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
No comments :
Post a Comment