Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mwigulu Nchemba, akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa
Mataifa la kuhudumia Wakimbizi(UNHCR), Chansa Kapaya(kushoto), alipofika
ofisini kwake kujadili masuala ya wakimbizi wanaohifadhiwa katika
kambi mbalimbali nchini Tanzania.Mazungumzo hayo yamefanyika leo jijini
Dar es Salaam.
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la
Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi(UNHCR), Chansa Kapaya(kushoto),
akizungumza na Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu
Nchemba, alipofika ofisini kwa waziri kujadili masuala ya wakimbizi
wanaohifadhiwa katika kambi mbalimbali nchini Tanzania. Mazungumzo hayo
yamefanyika leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akiagana na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la
Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi(UNHCR), Chansa Kapaya (kushoto),
baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika ofisini kwa waziri
huyo,kujadili masuala ya wakimbizi wanaohifadhiwa katika kambi
mbalimbali nchini Tanzania.Mazungumzo hayo yamefanyika leo jijini Dar
es Salaam.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi
Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi (UNHCR),
Chansa Kapaya (kushoto) ,baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika
ofisini kwa waziri huyo,kujadili masuala ya wakimbizi wanaohifadhiwa
katika kambi mbalimbali nchini Tanzania.Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya
Wakimbizi kutoka wizarani hapo, Harrison Mseke.Mazungumzo hayo
yamefanyika leo jijini Dar es Salaam.(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
No comments :
Post a Comment