Saturday, February 11, 2017

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKIWA BUNGENI DODOMA


JENI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,  Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kushoto) na Waziri  wa Katiba na Sheria, Dkt. Harrison Mwakyembe  (katikati), Bungeni mjini Dodoma Februari 10, 2017.
ZUGU
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu, bungeni mjini Dodoma Februari 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments :

Post a Comment