Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais, Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akiongea katika
uzinduzi wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa dhamana ya Hifadhi ya Mazingira.
Bodi hiyo iko chini ya Uenyekiti wa Bw Ali A. Mafuruki. Uzinduzi huo
umefanyika jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais, Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akiwakaribisha wajumbe
wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa dhamana ya Hifadhi ya Mazingira (hawapo
pichani), kulia ni Bw. Ali Mufuruki Mwenyekiti wa Bodi.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu
wa Rais Eng. Ngosi Mwihava (kushoto) akiwa na Bw. Ali Mufuruki
Mwenyekiti wa Bodi, wakati wa halfa ya uzinduzi wa Bodi ya Mfuko wa
Taifa wa dhamana ya Hifadhi ya Maizngira jiini Dar es Salaam.
Sehemu ya Wajumbe wa Bodi (mstari
wa mbele) wakifuatilia maelezo ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais, Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba katika hafla ya
uzinduzi wa Bodi na Mfuko wa Dhamana ya Mazingira.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais, Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akiwa katika picha ya
pamoja na wajumbe wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa dhamana ya Hifadhi ya
Mazingira, mara baada ya kuizindua hii leo, Mtaa wa Luthuli jijini Dar
es Salaam.
No comments :
Post a Comment