Friday, February 24, 2017

WADAU WA AFYA YA UZAZI WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM KUJADILI VIFO VYA MAMA NA MTOTO.


1
2
Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania ( TAWLA ), Athanasia  Soka akifungua mkutano   wa wadau wa sekta ya afya ya uzazi leo jijini Dar es Salaam kujadili maswala mbalimbali kuhusiana haki za Wanawake katika vifo vinavyotokana na afya ya uzazi  Wakina Mama na Watoto wanapo jifungua.
3
Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Afya na Tiba Hurbert Kairuki ( HKMU ), Dk. Pensiens Mapunda akielezea vifo vinavyotokana  na afya ya uzazi  kwa Wakina Mama na Watoto.uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
4
5
Mshiriki wa mkutano huo, Bi Kavinya Makau akielezea mada mbalimbali wakati wa mkutano   wa wadau wa sekta ya afya ya uzazi   kwa Wakina Mama na Watoto leo jijini Dar es Salaam.
Image00002 Image00003
 Wakili wa Serikali Mkuu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Charles Mmbando akielezea sheria ya haki za Wanawake katika afya ya uzazi kwa Wakina Mama na Watoto leo jijini Dar es Salaam.
Image00004
Mmoja wa washiriki wa mkutano huo akichangia mada yake.
Image00005
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama Cha wanasheria wanawake ( TAWLA ), Bi Tike Mwambipile akifafanua jambo wakati wa mkutano   wa wadau wa sekta ya afya ya uzazi leo jijini Dar es Salaam wa kujadili maswala mbalimbali kuhusiana haki za Wanawake katika  afya ya uzazi  kwa Wakina Mama na Watoto leo jijini Dar es Salaam.
6
7
Image00001
Washiriki wa mkutano  wakifuatilia mada mbalimbali wa kati wa mkutano huo.
  8
Wa kwanza kushoto, Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania ( TAWLA ), Athanasia  Soka ( kulia kwake) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Chama Cha wanasheria wanawake TAWLA Bi Tike Mwambipile wakiwa katika mkutano huo.
10
Wakili wa Serikali Mkuu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Charles Mmbando (kushoto) akishauriana jambo na Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Afya na Tiba Hurbert Kairuki ( HKMU ), Dk. Pensiens Mapunda wakati wa mkutano huo leo.
11
Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania ( TAWLA ), Athanasia  Soka (wanne katikati) akiwa katika picha ya pamoja na  wadau wa afya.
PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON-FULLSHANGWEBLOG

No comments :

Post a Comment