Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi Mlimani ya jijini Dar
es salaam walioshiriki matembezi na kuimba nyimbo maalum wakati wa
maadhimisho ya 11 ya Siku ya Nile (Nile day) , Maadhimisho hayo
yamehudhuliwa na nchi 10 zinazozunguka bonde la mto Nile na kubeba kauli
mbiu inayosema “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula
na Maji kwa Wote”
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akipokea taarifa ya upatikanaji wa maji jijini Dar es Salaam
alipotembelea banda la DAWASCO na kupewa maelezo na Afisa Mtendaji Mkuu
wa Dawasco Cyprian Luhemeja wakati wa maadhimisho ya 11 ya Siku ya
Nile (Nile day) , Maadhimisho hayo yamehudhriwa na nchi 10 zinazozunguka
bonde la mto Nile na kubeba kauli mbiu inayosema “Mto wetu wa pamoja
Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akihutubia wakati wa maadhimisho ya 11 ya Siku ya Nile (Nile day) ,
Maadhimisho hayo yamehudhuliwa na nchi 10 zinazozunguka bonde la mto
Nile na kubeba kauli mbiu inayosema “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo
cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”
Wajumbe na wageni waalikwa wakimsikiliza kwa makini Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati
akihutubia kwenye maadhimisho ya 11 ya Siku ya Nile (Nile day) ,
Maadhimisho hayo yamehudhriwa na nchi 10 zinazozunguka bonde la mto Nile
na kubeba kauli mbiu inayosema “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha
Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan pamoja n meza kuu wakiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa
shule ya msingi Mlimani wakati wa maadhimisho ya 11 ya Siku ya Nile
(Nile day) , Maadhimisho hayo yamehudhriwa na nchi 10 zinazozunguka
bonde la mto Nile na kubeba kauli mbiu inayosema “Mto wetu wa pamoja
Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”





No comments :
Post a Comment