Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akiongea jambo wakati akiwaeleza
wananchi na wanafunzi wa Shule ya Msingi na Sekondari ya Nyamagongo Wilaya ya Rorya kuhusu utekelezaji wa Mradi wa REA Awamu ya III. Shule hiyo ni miongoni mwa maeneo ambayo yatafikiwa katika mradi wa REA awamu ya Tatu. Wengine
wanaofuatilia ni Meneja wa TANESCO Kanda ya Ziwa Mhandisi Amos Maganga, (katikati) Meneja wa TANESCO
Wilaya ya Rorya, Sospeter Kswahili (wa kwanza kulia). Wengine ni Mtaalam kutoka Wakala wa Nishati Vijijini Mhandisi Emmanuel Yesaya na Mkandarasi wa Kampuni ya Angelica International.

Afisa Uhusiano na Huduma za Jamii kwa Wateja kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), James
Vesso, akitoa elimu kuhusu Kifaa cha Umeme Tayari (UMETA) kwa wananchi
wa Kijiji cha Muriaza Kata ya Muriaza Wilaya ya Butiama wakati wa Ziara ya Waziri wa Nishati na Madini kijijini hapo. Kifaa hicho hakihitaji mtandao wa umeme katika nyumba.
Meneja wa TANESCO Kanda ya Ziwa Mhandisi Amos Maganga, akizungumza jambo wakati wa mkutano wa Waziri wa Nishati na Madini wananchi wa Nyamagongo ambapo Waziri na wataalam wa REA na TANESCO wameeleza kuhusu utekelezaji
wa REa Awamu ya Pili na ya Tatu. Wengine ni Mameneja wa TANESCO, Wilaya ya Rorya na Mkoa wa Mara, na Wataalam kutoka REA na TANESCO.
wa REa Awamu ya Pili na ya Tatu. Wengine ni Mameneja wa TANESCO, Wilaya ya Rorya na Mkoa wa Mara, na Wataalam kutoka REA na TANESCO.
Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Saimon Chacha na viongozi wa Mkoa, wakimkaribisha Waziri wa Nishati na Madini Profesa
Sospeter Muhongo (kulia) wilayani humo kwa ajili ya ziara ya kukagua
miradi ya REA awamu ya II na kueleza mipango ya Serikali kuhusu
utekelezaji wa REA Awamu ya Tatu.

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Mhandisi Hamis Komba, akiwaeleza wachimbaji
wadogo kuhusu shirika hilo kuridhia kutoa sehemu ya eneo lake la Buhemba kwa ajili ya wachimbaji kufanya shughuli za uchimbaji madini.
wadogo kuhusu shirika hilo kuridhia kutoa sehemu ya eneo lake la Buhemba kwa ajili ya wachimbaji kufanya shughuli za uchimbaji madini.
Mtendaji
Kata wa Mirwa, Neema Philipo,akisoma majina ya vikundi vya wachimbaji
wadogo ambavyo vitapewa sehemu ya eneo la STAMICO, Buhemba. Wengine
wanaofuatilia ni Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo
(wa pili kushoto), Kaimu Mtendaji Mkuu wa STAMICO, Mhandisi Hamis Komba,
(wa kwanza kushoto) Kamishna Msaidizi wa Madini Kanda ya Ziwa Viktoria
Mashariki, Mhandisi Juma Sementa na Watendaji kutoka STAMICO na
wachimbaji wadogo.
Waziri
wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akitoa rambirambi kwa
baadhi ya wazazi ambao mmoja wa wachimbaji wadogo alifariki katika ajali
ya kifusi iliyotokea katika mgodi eneo la Buhemba, Mkoani Mara.
Sehemu ya wananchi wa wananfunzi katika eneo
la Nyamagongo Wilaya ya Rorya Mkoa wa Mara wakifuatilia mkutano wa
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, hayupo pichani
Naibu
Mhariri wa Gazeti la Jamhuri Jackton Manyerere (wa pili kulia) akiongea
jambo wakati Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo
(katikati) akitoa heshima katika Kaburi la Baba Mzazi wa Manyerere.,
Jakcton Nyambereka Nyerere aliyefariki dunia tarehe 19/2/2017/. Wa
kwanza kulia ni Mhariri wa gazeti la Mtanzania Kulwa Keredia. Kushoto ni
baadhi ya waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari. Waziri alifika kuhani msiba wa wahariri hao Manyerere na Keredia wakati wa ziara yake Wilayani Butiama.
baadhi ya waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari. Waziri alifika kuhani msiba wa wahariri hao Manyerere na Keredia wakati wa ziara yake Wilayani Butiama.

No comments :
Post a Comment