Rais
wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni akipokea shada la maua
mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam kuanza ziara rasmi ya kiserikali ya siku
mbili leo Februari 25, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki
Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni alipowasili
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam kuanza ziara rasmi ya kiserikali ya siku mbili leo Februari 25,
2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimtabulisha kwa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama Rais wa Jamhuri
ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni alipowasili katika uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kuanza ziara
rasmi ya kiserikali ya siku mbili leo Februari 25, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni
wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakisimama
kwa nyimbo za Taifa mgeni alipowasili katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kuanza ziara rasmi ya
kiserikali ya siku mbili leo Februari 25, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni akisalimiana na Makamu
wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan alipowasili katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kuanza ziara rasmi ya
kiserikali ya siku mbili leo Februari 25, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akitambulishwa kwa ujumbe wa Uganda na Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe.
Yoweri Kaguta Museveni alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa
wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kuanza ziara rasmi ya kiserikali
ya siku mbili leo Februari 25, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni alipowasili
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam kuanza ziara rasmi ya kiserikali ya siku mbili leo Februari 25,
2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya
Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakiandgalia ngoma za utamaduni mgeni
alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam kuanza ziara rasmi ya kiserikali ya siku mbili leo
Februari 25, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni
wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakiwasili
Ikulu jijini Dar es salaam tayari kuanza ziara rasmi ya kiserikali ya
siku mbili leo Februari 25, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
wakati mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni
akipiga ngoma alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam kuanza ziara rasmi
ya kiserikali ya siku mbili leo Februari 25, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni
wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni alipowasili
Ikulu jijini Dar es salaam kuanza ziara rasmi ya kiserikali ya siku
mbili leo Februari 25, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na
mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni
alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam kuanza ziara rasmi ya kiserikali
ya siku mbili leo Februari 25, 2017 .
PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment