Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni akiwasili katika Kiwanda cha Juisi cha Azam kilichopo Vingunguti Jijini Dar es
Salaam .Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Kampuni za Bakhresa Bw. Salim Aziz.
Salaam .Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Kampuni za Bakhresa Bw. Salim Aziz.
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Bw. Salim Aziz
akimtambulisha Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni kwa
wafanyakazi wa alipofanya ziara katika viwanda vya Kuzalisha Unga wa
Ngano Cha Bakhresa Food Products kilichopo Buguruni na Kiwanda cha
Juisi cha Azam kilichopo Vingunguti Jijini Dar es Salaam .
Rais
wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni akiangalia namna Juisi ya Azam
inavyotengenezwa alipofanya ziara katika Kiwanda hicho leo Jijini Dar es
Saalam. Kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles
Mwijage.
Rais
wa Uganda Mhe.Yoweri Museveni(wapili kushoto) akiulizia jambo wakati wa
ziara yake katika viwanda vya Kuzalisha Juisi cha Azam kilichopo
Vingunguti jijini Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Afisa Mtendaji
Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Bw. Salim Aziz, Mkurugenzi wa
Mahusiano wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Hussein Sufiani na Katibu
Mkuu wa
Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt. Adelhelm Meru.
Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt. Adelhelm Meru.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa wakifurahia ugeni wa
Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni(hayupo pichani) wakati wa ziara yake
katika viwanda vya Kuzalisha Juisi cha Azam kilichopo Vingunguti jijini
Dar es Salaam .
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Bw. Salim Aziz
akimkabidhi zawadi Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni baada ya
kumaliza ziara katika viwanda vya Kuzalisha Unga wa Ngano Cha Bakhresa
Food Products kilichopo
Buguruni na Kiwanda cha Juisi cha Azam kilichopo Vingunguti Jijini Dar es Salaam .
Buguruni na Kiwanda cha Juisi cha Azam kilichopo Vingunguti Jijini Dar es Salaam .
Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni akifurahia zawadi aliyopewa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya
Bakhresa Bw. Salim Aziz (wapili kulia) mara baada ya kumaliza ziara katika viwanda vya Kuzalisha Unga wa Ngano Cha Bakhresa Food Products kilichopo Buguruni na Kiwanda cha Juisi cha Azam kilichopo Vingunguti Jijini Dar es Salaam leo. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga.

wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni akifurahia zawadi aliyopewa na
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Bw. Salim Aziz
(wapili kulia) mara baada ya kumaliza ziara katika viwanda vya Kuzalisha
Unga wa Ngano Cha Bakhresa Food Products kilichopo
Buguruni na Kiwanda cha Juisi cha Azam kilichopo Vingunguti Jijini Dar
es Salaam leo. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga.
Waziri
wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akifafanua jambo
mbele ya waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa Ziara ya Rais
wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika viwanda vya Kuzalisha Unga
wa Ngano Cha Bakhresa Food Products kilichopo Buguruni na Kiwanda cha
Juisi cha Azam kilichopo Vingunguti Jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Bw. Salim Aziz.
Mkurugenzi
wa Mahusiano wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa akifafanua jambo mbele
ya waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa Ziara ya Rais wa
Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika viwanda vya Kuzalisha Unga wa
Ngano Cha Bakhresa Food Products kilichopo Buguruni na Kiwanda cha
Juisi cha Azam kilichopo Vingunguti Jijini Dar es Salaam
Rais
wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni(mweneye kofia) akiwa katika picha
ya pamoja na menejimenti ya Kundi la Makampuni ya Bakhresa mara baada
ya kumaliza ziara katika Kiwanda cha Kuzalisha Unga wa Ngano Cha Bakhresa Food Products kilichopo Buguruni na Kiwanda cha Juisi cha Azam kilichopo Vingunguti Jijini Dar es Salaam
Picha zote na: Frank Shija – MAELEZO.

No comments :
Post a Comment