Thursday, February 2, 2017

Rais Magufuli Aitaka Mahakama Kufuatilia Deni la Trilioni 7.3.


HUSU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika viwanja vya mahakama alipokuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
HUSU 1
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Harrison Mwakyembe akiwasili katika viwanja vya mahakama kuhudhuria hafla ya maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
HUSU 2
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma akiwasili katika viwanja vya mahakama kuhudhuria hafla ya maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
HUSU 3
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Profesa Ibrahim Juma(kushoto) akiwa pamoja na viongozi wenzake wakisubiri kumpokea mgeni rasmi katika maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama  Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema, Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe,Jaji Kiongozi Ferdinand Wambali na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu.
HUSU 4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia alipokuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
JIJ1
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma akizungumza wakati wa hafla ya maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
JIJ2
Baadhi ya viongozi wa dini na wageni waalikwa wakifuatilia hotuba wakati wa hafla ya maaadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
JIJ3
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma akimkabidhi ripoti ya kesi za uchaguzi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika hafla ya maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
JIJ4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai ripoti ya kesi za uchaguzi wa mwaka 2015 katika hafla ya maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
JIJ5
Baadhi ya viongozi wa dini wakiomba wakati wa hafla ya  maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
JIJ6
JIJ7
Baadhi ya wageni waalikwa wakifuatilia makala fupi kuhusu mpango mkakati wa Mahakama iliyoonyeshwa mbele ya Rais Dkt. Magufuli wakati wa hafla ya maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
JIJ8
Baadhi ya majaji wa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu wakiwa katika hafla ya maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
JIJ9
Kikosi Maalumu cha Jeshi la Polisi nchini kikiwa tayari kutoa salamu ya utii kwa Kaimu Jaji Mkuu Ibrahim Juma wakati wa hafla ya maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
JIJ10
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Profesa Ibrahim Juma  akikagua gwaride la Kikosi Maalumu cha Jeshi la Polisi nchini wakati wa hafla ya maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
JIJ11
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Profesa Ibrahim Juma  akipokea salamu ya utii kutoka kwa  Kikosi Maalumu cha Jeshi la Polisi nchini wakati wa hafla ya maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
JIJ12
Kaimu Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Profesa Ibrahim Juma  akiteta jambo na  Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju(kushoto) walipokutana katika hafla ya maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe.
JIJ13
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya majaji pamoja na viongozi wa Serikali wakati wa hafla ya maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.Waliokaa kutoka kushoto ni Jaji Mkuu wa Zanzibar Othmani Makungu, Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe, Kaimu Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Profesa Ibrahim Juma, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai, Jaji Kiongozi Ferdinand Wambali na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema.
Picha zote na: Frank Shija – MAELEZO.

No comments :

Post a Comment