Wednesday, February 22, 2017

NHIF YAKUTANA NA WADAU NA KUAHIDI UBORESHAJI WA HUDUMA ZA AFYA MKOANI GEITA


KID1
Mwenyekiti wa Bodi NHIF  na Spika mstaafu wa Bunge mama Anna Makinda akisisitiza juu ya kuboreshwa  huduma katika mfuko wa Bima ya afya wa Taifa. 
KID2
Mkuu wa Mkoa wa Geita,Meja jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akiwa na mwenyekiti wa Bodi ya NIHF wakisikiliza kwa makini taarifa ya Mkoa wa Geita juu ya mfuko wa bima ya afya .
KID3
Mbunge wa Geita Mjini Constatine Kanyasu na Mbunge wa Jimbo la Busanda  Lorencia Bukwimba wakifuatilia mkutano .
KID4
Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja jenerali Mstaafu  Ezekiel Kyunga akifungua mkutano wa wadau wa Mfuko wa Bima wa Taifa Mkoani Humo.
KID5
Mbunge wa Geita Mjini Constatine Kanyasu,akielezea namna ambavyo kumekuwepo na changamoto za huduma ya afya katika jimbo ambalo analiongoza.
KID6
Mbunge wa Bukombe  Dotto Biteko akichangia swala la huduma ambazo zinatolewa na mfuko wa Bima ya afya wa NHIF.
KID7
Baadhi ya wajumbe wakiwa kwenye mkutano huo wakisikiliza taarifa ya utekelezaji wa shughuli za NHIF.
KID8
Kaimu Mkurugenzi wa NHIF Angela Mziray akifafanua namna ambavyo NHIF imekuwa ikisaidia wa gonjwa wenye magonjwa yasiyoambukiza.
KID9
Meneja wa NHIF Mkoani Geita Mathias Sweya akielezea namna ambavyo shughuli za kuandikisha wanachama wapya jinsi  zikifanyika Mkoani Geita .
KID10
Wajumbe wakiendelea kufatilia mkutano.
KID11
Mwenyekiti wa Bodi NHIF  na Spika mstaafu wa Bunge mama Anna Makinda,akiwashkuru wajumbe ambao wamehudhuria Mkutano huo.
KID12
Picha ya pamoja mwenyekiti wa Bodi ya NHIF pamoja na wajumbe ambao wameshiriki mkutano huo.

No comments :

Post a Comment