Mgeni rasmi wa ufunguzi wa
Mkutano wa uhamasishaji wa Afya na lishe kwa vijana (hasa kwa
wasichana),Mkurugenzi wa Kinga,Wizara ya Afya,Maendeleo ya
jamii,Jinsia,Wazee na watoto Dkt.Neema Rusibamayila akisoma hotuba
wakati wa mkuitano huo ambao wa siku tatu unaofanyika kwenye ukumbi wa
Kimataifa wa Julius Nyerere
Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) Dkt.Joyce Kaganda akizungumza kwenye mkutano huo
Baadhi
wa washiriki wa mkutano huo wakifuatilia uwasilishaji wa mada.Mkutano
huo wa Kimataifa unawashirikisha viongozi wa juu wa serikali, mashirika
na taasisi binafsi pamoja na wadau wa maendeleo nchini na nje ya nchi
Picha ya pamoja ya washiriki wa
Mkutano huo ambao unalengo la kutunza afya ya vijana hususani wasichana
kwani ni wazazi wa baadae kutoka wanapozaliwa hadi makuzi yao .Nchi
zinazoshiriki mkutano huo ni pamoja na Tanzania,Ethiopia,Senegal na
Kenya(Picha zote na Rayson Mwaisemba-Wizara ya Afya)
No comments :
Post a Comment