Muonekano halisi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora iliyopo katika jengo la Kitivo cha Sanaa na Sayansi Jamii Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), mara baada ya ofisi hiyo
kuzinduliwa rasmi na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb).

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akikata utepe kuzindua
rasmi ofisi yake iliyopo Makao Makuu ya Nchi Dodoma. Wanaoshuhudia ni
watumishi wa ofisi hiyo.

Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza na Vyombo
vya Habari kabla ya kuzindua rasmi utoaji wa huduma wa ofisi yake
iliyopo Makao Makuu ya Nchi Dodoma. Wengine ni baadhi ya Watumishi wa
ofisi hiyo.

Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza na Mkurugenzi
wa Idara ya Uendelezaji Sera, Bw. Mathias Kabunduguru mara baada ya
kuzindua rasmi huduma za ofisi hiyo.

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Prof. Idris Kikula akisaini
kitabu cha wageni ofisini kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J.
Kairuki (Mb) mara baada ya kumtembelea waziri huyo ofisini kwake.
Wanaoshuhudia ni baadhi ya waandishi wa habari na watumishi wa ofisi
hiyo.
kitabu cha wageni ofisini kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J.
Kairuki (Mb) mara baada ya kumtembelea waziri huyo ofisini kwake.
Wanaoshuhudia ni baadhi ya waandishi wa habari na watumishi wa ofisi
hiyo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akijionea moja ya
shubaka linalotumika kutunzia majalada katika masijala ya ofisi yake,
mara baada ya kuzindua utoaji wa huduma wa ofisi hiyo iliyopo Makao
Makuu ya Nchi Dodoma. Wanaoshuhudia ni baadhi ya watumishi wa ofisi hiyo
na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM),
Prof. Idris Kikula.

Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akiwa katika picha
ya pamoja na watumishi wa ofisi yake iliyopo Makao Makuu ya Nchi
Dodoma, mara baada ya kuzindua rasmi utoaji wa huduma wa ofisi hiyo.
Aliyejumuika nao ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Prof.
Idris Kikula (Wapili kutoka kulia).

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Prof. Idris Kikula akizungumza na
Vyombo vya Habari mara baada ya Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.
Angellah J. Kairuki (Mb) kuzindua rasmi ofisi yake iliyopo katika jengo
la Kitivo cha Sanaa na Sayansi Jamii lililopo Chuo Kikuu cha Dodoma
(UDOM).

No comments :
Post a Comment