MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KAMISHNA ANDENGENYE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye, ofisini
kwake Ikulu jijini Dar es Salaam.
No comments :
Post a Comment