Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri
Mkuu wa zamani wa Guinea Conakry Mhe. Kabine Komara ambaye sasa ni
Balozi wa Taasisi ya Maendeleo ya Bonde la Mto Senegal, Ikulu jijini Dar
es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu
wa zamani wa Guinea Conakry Mhe. Kabine Komara ambaye sasa ni Balozi wa
Taasisi ya Maendeleo ya Bonde la Mto Senegal, Ikulu jijini Dar es
salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya
pamoja na Waziri Mkuu wa zamani wa Guinea Conakry Mhe. Kabine Komara
ambaye sasa ni Balozi wa Taasisi ya Maendeleo ya Bonde la Mto Senegal,
Ikulu jijini Dar es salaam.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments :
Post a Comment