Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akionyesha majina mengine 97 ya wafanyabiashara wa Dawa za Kulevya awamu ya tatu kwa
Bw. Rogers William Siangakamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na
Kupambana na Dawa za Kulevya ili yaanze kushughulikiwa amesema awamu
hii itaitikisa nchi kwani wameanzia toka awamu ya tatu iliyoongozwa na
Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, ya nne Rais Mstaafu Jakaya Mrisho
Kikwete na hii ya Tano inayoongozwa na Rais Dk. John Pombe Magufuli, Katika mkutano uliofanyika kwenye ukubi wa Mwalimu Nyerere JNCC
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akikabidhi majina mengine 97 ya awamu ya tatu kwa
Bw. Rogers William Sianga kuwa kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na
Kupambana na Dawa za Kulevya ili yaanze kushughulikiwa amesema awamu
hii itaitikisa nchi kwani wameanzia toka awamu ya tatu iliyoongozwa na
Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, ya nne Rais Mstaafu Jakaya Mrisho
Kikwete na hii ya Tano inayoongozwa na Rais Dk. John Pombe Magufuli.
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akizungumza katika mkutano huo amekabidhi majina mengine 97 ya awamu ya tatu kwa
Bw. Rogers William sianga kuwa kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na
Kupambana na Dawa za Kulevya ili yaanze kushughulikiwa amesema awamu
hii itaitikisa nchi kwani wameanzia toka awamu ya tatu iliyoongozwa na
Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, ya nne Rais Mstaafu Jakaya Mrisho
Kikwete na hii ya Tano inayoongozwa na Rais Dk. John Pombe Magufuli.
Shekh wa Mkoa wa Dar es salaam
na Mwenyekiti wa Kamati ya Amani Alhadi Mussa akizungumza na watendaji
mbalimbali wa vyombo vya ulinzi na usalama mkoa wa Dar es salaam pamoja
na viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi, Wenyeviti wa serikali za
mitaa na madiwani pamoja na vijana mbalimbali waliokuwa wanatumia dawa
za kulevya katika mkutano wa taarifa ya maendeleo ya Kampeni ya kupiga
vita dhidi ya madawa ya kulevya.
Mchungaji Geoge Fupe akizungumza katika mkutano huo wa KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani.
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh.
Paul Makonda akizungumza jambo na Bw. Rogers William sianga kuwa
kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya
katika mkutano wa kutoa tathmini ya kampeni ya kutokomeza madawa ya
kulevya Kamishna katika mkoa wa Dar es salaam.
Bw. Rogers William Siangakamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akiwa pamoja na viongozi wengine wakiwa katika mkutano huo.
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam Kamishna Saimon Sirro akizungumzo wakati akitoa taarifa ya kampeni hiyo leo.
No comments :
Post a Comment