Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe
akizungumza na waandishi wa habari nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es
Salaam. baada Mahakama hiyo kutoa amri kuzuia Polisi wasimkamate
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe
hadi maombi yake ya kupinga asikamatwe, yatakaposikilizwa Alhamisi wiki
hii.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON-FULLSHANGWEBLOG
No comments :
Post a Comment