Tuesday, February 14, 2017

MADAKTARI BINGWA WA MARADHI YA MOYO TOKA SHIRIKA LA SAVE A CHILD HEART TOKA ISRAEL WAPO ZANZIBAR KUWAFANYIA VIPIMO WATOTO WENYE MARADHI HAYO


ISA
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na madaktari wa maradhi ya moyo kutoka Israel ambao wapo nchini kuwafunyia uchunguzi watoto wenye m.aradhi hayo ambao baadhi  watapelekwa Israel kufanyiwa upasuaji.

Dkt. Yifat Brosh kutoka Shirika la Save  a Child Heart la Israel akimfanyia vipimo mmoja ya
watoto wanaosumbuliwa na maradhi ya moyo katika Hospitali Kuu ya Mnazimmoja.

Waziri wa Afya Mahmoud Thabi Kombo akipata maelezo kutoka kwa Dkt. Alona Roucher kuhusu matatizo ya moyo  yanayomkabili  Muslim Muhd Ali kutoka mtaa wa Jangombe  ambae ni mmoja kati ya watoto watakaopelekwa Israel kwa matibabu.

Baadhi ya wazazi wakiwa Hospitali Kuu ya Mnazimmoja wakisubiri zamu za kuwapeleka watoto wao kufanyiwa uchunguzi na madaktari bingwa wa moyo kutoka nchini Israel.
Picha zote na Makame Shenga-Maelezo.

No comments :

Post a Comment