Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa
Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga akisaini kitabu cha wageni mara baada ya
kuwasili Ofisi Ndogo Makao Makuu ya UVCCM Taifa.
Kaimu katibu UVCCM Shaka Hamdu Shaka wa pili kulia
akimuonyesha ofisi mbalimbali Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano
wa Kimataifa Kanali Mstaafu
Ngemela Lubinga mara baada ya kuwasili Ofisi
Ndogo Makao Makuu ya UVCCM Taifa
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akitoa ufafanuzi na kumkaribisha Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu
Ngemela Lubinga kuzungumza na wajumbe Wa Sekretariet Ya UVCCM TAIFA pamoja na wafanyakazi Ofisi Ndogo Makao makuu Uvccm Dar es Salaam.
Ngemela Lubinga
Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu
Ngemela Lubinga akizungumza Wajumbe Sekretariet Ya UVCCM TAIFA pamoja na wafanyakazi Ofisi Ndogo Makao makuu Uvccm Dar es Salaam.
picha ya Pamoja ya Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu
Ngemela Lubinga pamoja na Wajumbe wa Sekretariet Ya UVCCM TAIFA Ofisi Ndogo Makao makuu Uvccm Dar es Salaam.
Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Taifa Shaka Hamdu Shaka akizungumza
jambo na Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali
Mstaafu
Ngemela Lubinga Ofisi ndogo Makao makuu Uvccm Dar es Salaam.
Naibu Katibu UVCCM Bara Ndg:Mfaume kizingo akiagana na Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu
Ngemela Lubinga Ofisi Ndogo Makao makuu Uvccm Dar es Salaam.
wajumbe wa Sekretariet ya UVCCM Taifa wakimuaga Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu
Ngemela Lubinga Ofisi Ndogo Makao makuu Uvccm Dar es Salaam.
Ngemela Lubinga mara baada ya kuwasili Ofisi
Ndogo Makao Makuu ya UVCCM Taifa
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akitoa ufafanuzi na kumkaribisha Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu
Ngemela Lubinga kuzungumza na wajumbe Wa Sekretariet Ya UVCCM TAIFA pamoja na wafanyakazi Ofisi Ndogo Makao makuu Uvccm Dar es Salaam.
Viongozi Wakimsikiliza kwa makini
Mkuu wa Utawala UVCCM Taifa Omary ng’wanangwalu akimsikiliza
Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali MstaafuNgemela Lubinga
Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu
Ngemela Lubinga akizungumza Wajumbe Sekretariet Ya UVCCM TAIFA pamoja na wafanyakazi Ofisi Ndogo Makao makuu Uvccm Dar es Salaam.
picha ya Pamoja ya Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu
Ngemela Lubinga pamoja na Wajumbe wa Sekretariet Ya UVCCM TAIFA Ofisi Ndogo Makao makuu Uvccm Dar es Salaam.
Ngemela Lubinga Ofisi ndogo Makao makuu Uvccm Dar es Salaam.
Naibu Katibu UVCCM Bara Ndg:Mfaume kizingo akiagana na Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu
Ngemela Lubinga Ofisi Ndogo Makao makuu Uvccm Dar es Salaam.
Ngemela Lubinga Ofisi Ndogo Makao makuu Uvccm Dar es Salaam.
picha zote nz fahady siraji

No comments :
Post a Comment