Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira, akiongoza kikao cha
ndani kilichoshirikisha Idara zilizopo ndani ya wizara.Kikao hicho
kimefanyika katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam.
Kamishna wa Jeshi la Magereza
Divisheni ya Utawala na Fedha,Gaston Sanga, akitoa maelezo kwa Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest
Rwegasira, wakati wa kikao cha ndani kilichoshirikisha Idara zilizopo
ndani ya wizara.Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa wizara, jijini
Dar es Salaam.Kulia ni Kamishna wa Fedha Jeshi la Polisi Albert
Nyamuhanga.
Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi,
Harrison Mseke na Afisa Tawala wa Idara hiyo,Jenita Ndone(Kulia),
wakifuatilia kwa makini kikao cha ndani cha Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, kilichoongozwa na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Meja Jenerali
Projest Regasira (hayupo pichani) .Kikao hicho kimefanyika katika
ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam.
Maafisa kutoka idara ya Uhamiaji
wakifuatilia mazungumzo yaliyokuwa yakitolewa na Katibu Mkuu wa Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira(hayupo
pichani) wakati wa kikao cha ndani kilichoshirikisha Idara zilizopo
ndani ya wizara. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa wizara,
jijini Dar es Salaam.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments :
Post a Comment