Wanafunzi wa shule ya Sekondari
ya Iwawa wilayani Makete wakimwimbia Waziri mkuu, Kassim Majaliwa
wakati alipokwenda shuleni hapo kufungua madarasa yao Januari 21,
2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Iwawa iliyopo Makete
kabla ya kufungua madarasa ya shule hiyo Januari 20,1, 2017. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiongozana na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Iwawa ya Makete, Novatus
Msivala kwenda kufungua madarasa ya shule hiyo Januari 21, 2017.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akifungua madarasa ya shule ya Sekondari ya Iwawa iliyopo Makete
Januari 21, 2017.. (Picha na Ofisiya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka wakiwa wameketi kwenye
madawati ya moja kati ya madarasa mawili mapya yaliyofunguliwa na Waziri
Mkuu katika shule ya sekondari ya Iwawa iliyopo Makete Januari 21,
2017. Katikati ni Mbunge wa Makete, Norman Sigala., (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka (kulia
kwake ) na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Njombe, Deo Sanga kukagua maeneo
ya shule ya sekondari ya Iwawa wilayani Makete baada ya kufungua
madarasa ya shule hiyo Januari 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na walimu wa shule ya sekondari ya Iwawa iliyopo Makete
baada ya kufungua madarasa ya shule hiyo Januari 21, 2017. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwapungia wananchi wa Njombe wakati alipokagua ujenzi wa hospitali ya
rufaa ya mkoa wa Njombe katika eneo la Wikichi katika Wilaya ya
Njombe Januari 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Iwawa wilayani Makete
wakimwimbia Waziri mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipokwenda shuleni
hapo kufungua madarasa yao Januari 21, 2017. (Picha na ofisi ya
Waziri Mkuu
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole
Sendeka wakiwa wameketi kwenye madawati ya moja kati ya madarasa mawili
mapya yaliyofunguliwa na Waziri Mkuu katika shule ya sekondari ya Iwawa
iliyopo Makete Januari 21, 2017. Katikati ni Mbunge wa Makete, Norman
Sigala., (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment