Kutoka kulia ni kaimu mkurugenzi wa Multchoice tanzania, Baraka Shelukindo, Waziri wa habari, Utamaduni, Michezo na Sanaa, mh, Nape nnauye, mwanariadha wa Tanzania aliyeshinda medali ya dhahab katika mbio za marathon huko nchini India hivi karibuni, Alphonce Simbu na katibu mkuu wa shirikisho la riadha Tanzania “RT” william Gida Budai, wakati wa hafla ya kumpongeza mwanariadha huyoiliyofanyika leo Dar es salaam |
Waziri Nape Nnauye akiwa na mwanriadha wa Tanzania Alphonce Simbu, wakati wa hafla ya kumkaribisha mwanariadha huyo |
Mwanaridha Alphonce Simbu akiwa na katibu mkuu wa RT, Wilhelm Gidabuday |
Meneja uhusiano wa Multchoice, Johnson Mshana akiongea katika hafla ya kumpongeza mwanariadha Alphonce Simbu |
Alphonce Simbu akizungumza katika hafla ya kupongezwa baada ya kupata medali ya dhahabu katika mashindano ya mbio za marathon huko nchini India |
Baraka Shelukindo, Kaimu Mkurugenzi Multchoice Tanzania akimkaribisha waziri Nape Nnauye wakati wa hafla ya kumpongeza mwanariadha Alphonce Simbu aliyeshinda medali ya dhahabu |
Waziri wa habari, Utamduni , michezo na Sanaa, Nape Nnauye |
Waziri Nape Nnauye akizungumza wakati wa hafla ya kumkaribisha mwanariadha wa Tanzania aliyeshinda medali katika mashindano ya mbio za marathon nchini India |
Waziri Nape Nnauye akiangalia medali ya mwanariadha Alphonce Simbu |
Waziri wa Habari,Utamaduni, michezo na Sanaa, akipokea medali toka kwa mwanariadha wa Tanzania, Alphonce Simbu |
Baraka Shelukindo, kaimu mkurugenzi wa Multchoice Tanzania akipokea medali toka kwa Alphonce Simbu katika hafla ya kumkaribisha mwanariadha huyo |
Alphonce Simbu akiwa na katibu wa Riadha Tanzania RT, William Gida Budai, wakionyesha medali aliyoipata mwanariadha huyo nchini India kwenye mbio za Marathon |
Alpha Mria, meneja masoko wa Multchoice Tanzania akiongea wakati wa kumkaribisha Alphonce Simbu |
No comments :
Post a Comment