Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikagua mhahindi wakati alipotembelea magahala ya Wakala wa Taifa wa
Hifadhi ya Chakula (NFRA) , Chang’ombe jijini Dar es salaam Januari 4,
2017. Kulia kwake ni Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa
Hifadhi ya Chakula (NFRA), Deusdedit Mpazi. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)

akisalimiana na Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa
Hifadhi ya Chakula (NFRA), Deusdedit Mpazi wakati alipotembelea maghala
ya NFRA, Chang’ombe jijini Dar es salaam Januari 4, 2017. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment