Baada ya ukimya wa muda Jarida
namba moja kwa stori za burudani Tanzania “Baabkubwa Magazine”
linakuarifu wewe mdau wetu, tumeanza kazi kwa msimu mpya na soon as
possible toleo jipya linatuwa mtaani kwako likiwa na muonekano tofauti
na wakuvutia kwa kusoma kila pages utakayotupia macho. NikoHub and
Baabkubwa is under Candy and Candy Co LTD.
NikoHub ni application ambayo
imeziunganisha Migahawa, Movie stores, Maduka ya wines and spirit, Bars
na Clubs zote za Tanzania, inafanya kazi kwa kupatanisha muuzaji na
mnunuzi moja kwa moja na unaweza kupokea orders au kufanya delivery au
vyote kwa pamoja mahali popote na karibu mtu anapokuwa. mnunuzi anapata
nafasi ya kuona kitu anachohitaji kwa urahisi, unaweza ku-compare prices
na mnunuzi anapata nafasi ya kuona kile competitors wake wanafanya
hivyo kuweza kujirekebisha, na pia inampa nafasi ya kujulikina zaidi
worldwide na kupata wateja wengi.
Nikohub and Baabkubwa inaachiwa
kwenye soko la Tanzania na imekuandalia special offer (Cake and Moet) ya
Valentines ambayo itahusika na kila mtu, na couples 500 watakua
featured kwenye Baabkubwa Magazine and TV show, ujumbe huu umepokelewa
vyema na so far more than 17,000 people wamesha download nikohub app
wakingojea kwa hamu hii special offer. Ofisi za Baabkubwa Magazine and
NikoHub zipo Masaki opposite na Cape Town Fish Market, unaweza
kutembelea page zetu za mitandao ya kijamii kama vile;
Instagram- @Baabkubwamagazine/ @nikohubtz
Facebook- Baabkubwa Magazine/ Nikohub Tanzania
Twitter- Baabkubwa Magazine
Website- Baabkubwa.com
No comments :
Post a Comment