Monday, December 19, 2016

WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA VIONGOZI WANAWAKE WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI TUCTA.

a1
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Wanawake TUCTA Bi.Rehema Ludanga alipowatembelea Ofisini kwao Jijini Dar es Salaam Desemba19, 2016.
a2
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akizungumza jambo wakati wa Mkutano na Viongozi wanawake wa Vyama vya wafanyakazi TUCTA walipokutana katika Ofisi zao Dar es Salaam tarehe 19 Desemba, 2016.
a3
Baadhi ya Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi wanawake wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) wakati wa mkutano wao Ofisi za TUCTA Dar es Salaam Desemba 19, 2016.
a4
Mkurugenzi Idara ya Jinsia na Wanawake TUCTA Siham Ahmed akichangia hoja wakati wa mkutano wao na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) alipokutana na Viongozi Wanawake wa Vyama vya wafanyakazi TUCTA Dar es Salaam.
a5
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akipokea vitabu mbalimbali vinavyohusu masuala ya Wanawake sehemu za kazi kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Wanawake TUCTA Bi.Rehema Ludanga wakati wa mkutano wao Ofisi za TUCTA Desemba 19, 2016.
a6
Mwenyekiti wa Kamati ya Wanawake TUCTA Bi.Rehema Ludanga akimkabidhi zawadi ya kitenge Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama ikiwa ni sehemu ya kuonesha furaha yao wakati wa mkutano wa Viongozi Wanawake wa Vyama vya Wafanyakazi Desemba 19, 2016 Dar es Salaam.
a7
Baadhi ya Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi wanawake wakiimba wimbo wa umoja wao wakati wa mkutano wao na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama katika Ukumbi wa Ofisi za TUCTA Dar es Salaam Desemba 19, 2016.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

No comments :

Post a Comment