Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja
Mhe,Vuai Mwinyi Mohamed wakati alipowasili katika ufunguzi wa msikiti,
Masjid Muhammad (S.A.W) huko Fujoni Mzambarauni Wilaya ya Kaskazini B”
Mkoa wa kaskazini Unguja leo,uliojengwa kwa usimamizi wa Bw,Yakoub
Othman mwakilishi wa Kampuni ya Al-Buwardy Tanzania,.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na
Msimamizi wa Ujenzi wa msikiti, Masjid Muhammad (S.A.W) Bw,Yakoub Othman
wakati alipowasili katika ufunguzi wa Msikiti huo uliojengwa na
Kampuni ya Al-Buwardy huko Fujoni Mzambarauni Wilaya ya Kaskazini B”
Mkoa wa kaskazini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria
ufunguzi wa Msikiti Masjid Muhammad (S.A.W) uliojengwa na Kampuni ya
Al-Buwardy huko Fujoni Mzambarauni Wilaya ya Kaskazini B” Mkoa wa
kaskazini Unguja leo (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar pia
Mwakilishi wa Jimbo la Mahonda Mhe,Balozi Seif Ali Iddi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akikata Utepe fkama ni ishara ya ufunguzi wa Msikiti Masjid
Muhammad (S.A.W) uliojengwa na Kampuni ya Al-Buwardy huko Fujoni
Mzambarauni Wilaya ya Kaskazini B” Mkoa wa Kaskazini Unguja leo chini ya
usimamizi wa Bw,Yakoub Othman (hayupo pichani) pia
wakiwepo (kulia} Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe,Vuai Mwinyi
Mohamed na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais katiba,Sheria,Utumishi wa Umma
na Utawala Bora Mhe Haroun Ali Suleiman (kushoto).
Sheikh
Otman Maalim alipokuwa akitoa mawaidha baada ya ufunguzi wa Msikiti
Masjid Muhammad (S.A.W) uliojengwa na Kampuni ya Al-Buwardy huko
Fujoni Mzambarauni Wilaya ya Kaskazini B” Mkoa wa Kaskazini Unguja
leo,ambapo umefunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati waliokaa),[Picha na
Ikulu.
Waumini wa
Dini ya Kiislamu wa Kijiji cha Fujoni Mzambarauni na Vijiji jirani
wakiwa ndani ya Msikiti Masjid Muhammad (S.A.W) uliofunguliwa leo
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein (hayupo pichani) ambao umejengwa kwa ufadhili wa Kampuni
ya Al-Buwardy,chini ya Usimamizi wa Bw,Yakoub Othman mwakilishi wa
kampuni hiyo .
Sheikh
Abdulkadir Imamu wa Masjid Maamur kutoka Dar es Salaam (mbele)
akiwaongoza Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Swala ya Ijumaa baada ya
Msikiti Masjid Muhammad (S.A.W) huko Fujoni Mzambarauni uliofuguliwa
rasmi leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj
Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) ambao umejengwa kwa ufadhili Kampuni
ya Al-Buwardy,chini ya Usimamizi wa Bw,Yakoub Othman mwakilishi wa
kampuni hapa Nchini,[Picha na Ikulu.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,alipokuwa akitoa nasaha zake kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu baada
ya swala ya Ijumaa leo alipoufungua Msikiti Masjid Muhammad (S.A.W)
uliojengwa na Kampuni ya Al-Buwardy huko Fujoni Mzambarauni Wilaya ya
Kaskazini B” Mkoa wa kaskazini Unguja,uliojengwa chini ya usimamizi
wa Bw,Yakoub Othman (hayupo pichani) kwa ufadhili Kampuni ya
Al-Buwardy, [Picha na Ikulu.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akisalimiana na Bw.Samir Ayoub miongoni mwa familia ya
Msimamizi wa Ujenzi wa msikiti, Masjid Muhammad (S.A.W) Bw,Yakoub
Othman wakati alipowasili katika ufunguzi wa Msikiti huo uliojengwa na
Kampuni ya Al-Buwardy huko Fujoni Mzambarauni Wilaya ya Kaskazini B”
Mkoa wa kaskazini Unguja leo, [Picha na Ikulu.] 30/12/2016.
No comments :
Post a Comment