Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizindua Kongamano
la Wajasiriamali katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Mnazi
Mmoja Mjini Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Meneja wa
Tawi la DTB hapa Zanzibar Mbarouk Ramadhan Mbarouk katika hafla ya
uzinduzi wa Kongamano la Wajasiriamali Zanzibar katika ukumbi wa
Baraza la Wawakilishi la Zamani Mnazi Mmoja Mjini Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Ofisa wa
Taasisi ya ‘Mchele Z’bar Foundation’ hapa Zanzibar Eshe Haji Ramadhan
katika hafla ya uzinduzi wa Kongamano la Wajasiriamali Zanzibar
katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Mnazi Mmoja Mjini
Unguja leo.
Mratibu wa Tume ya Sayansi na
Teknolojia Dkt.Afwa Mohamed akitoa hutuba fupi kwa niaba ya Mkurugenzi
Mkuu wa Tume ya Sayansi na Teknolojia katika hafla ya uzinduzi wa
Kongamano la Wajasiriamali Zanzibar katika ukumbi wa Baraza la
Wawakilishi la Zamani Mnazi Mmoja Mjini Unguja leo,ambalo lilizinduliwa
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,
Baadhi ya Wajasiriamali
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizindua Kongamano la Wajasiriamali hao
lililofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Mnazi
Mmoja Mjini Unguja leo,
Baadhi ya Wajasiriamali
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizindua Kongamano la Wajasiriamali hao
lililofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Mnazi
Mmoja Mjini Unguja leo.
[Picha na Ikulu.]
No comments :
Post a Comment