|
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula akikagua eneo linalotenganisha mpaka
(buffer zone) kati ya Tanzania na Zambia katika eneo la Tunduma, Kulia kwa Waziri ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Songwe Bw. Juma Said Irando. |
|
Naibu Waziri waArdhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula akiifuatilia alama moja wapo ya jiwe la mipaka ya kimataifa kati ya Tanzania na Zambia wakati alipotembelea eneo la Tunduma. |
|
Naibu Waziri waArdhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula akizungumza na wakazi wa eneo la mpakani la Tunduma mara baada ya kusikiliza kero zao kuhusu huduma za sekta ya ardhi. |
No comments :
Post a Comment