Msajili wa Hazina Dk.Oswald Mashindano
akikabidhiana na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya AICC Balozi
Dk.Ladislaus Komba mkataba wa makubaliano ya utekelezaji wa mkakati wa
mwaka kati ya Taasisi za Serikali na Zisizo za Serikali kupitia msajili
wa Hazina.
Msajili wa Hazina Dk.Oswald
Mashindano akizungumza jambo na baadhi ya wajumbe kutoka Chuo kikuu cha
Dar es Salaam(UDSM)na Taasisi ya Utafiti wa Viuatilifu vya Kitropiki
Tanzania.(TPRI) wakati wa hafla ya makabidhiano ya makubaliano ya
utekelezaji wa mkakati wa mwaka kati ya Taasisi za Serikali na zisizo za
Serikali kupitia msajili wa hazina.
MsajiliwaHazinaDk.OswaldMashindanoakikabidhiananamwakilishikutoka MfukowaUmojawaDhamanayaUwekezaji
Tanzania mkatabawamakubalianoyautekelezaji wamkakatiwamwakakatiyaTaasisizaSerikalinaSerikalikupitiamsajiliwahazina..NyumaniMkurugenziMtendajiwa MfukowaUmojawaDhamanayaUwekezaji
Tanzania Bw.James Washima.
WajumbembalimbalikutokaBodi yaWakurugenziya
AICC na MfukowaUmojawaDhamanayaUwekezaji
Tanzania wakimskilizaMsajiliwaHazinaDk.OswaldMashindano (hayupopichani)
wakatiwamakubalianoyautekelezajiwamkakatiwamwakakatiyaTaasisizaSerikalinaSerikalikupitiamsajiliwahazina.
MsajiliwaHazinaDk.OswaldMashindanoakikabidhiananamwakilishikutokaTaasisiyaUtafitiwaViuatilifuvyaKitropiki
Tanzania
(TPRI)mkatabawamakubalianoyautekelezajiwamkakatiwamwakakatiyaTaasisizaSerikalinaSerikalikupitiamsajiliwahazina.
Mhadhiriwa Chuo Kikuu cha Dar essaalaam
Prof.
ParamagambaKabudi akitiasainimkatabawamakubalianoyautekelezajiwamkakatiwamwakakatiyaTaasisizaSerikalinaSerikalikupitiamsajiliwahazinaleoJijini
Dar esSalaam.KushotokwakeniMakamuMkuuwa Chuo Kikuu cha Dar esSalaamProfesa Rwekaza Mukandara
PichanaDaudiManongi-MAELEZO.
No comments :
Post a Comment