 |
| Mkurugenzi
wa Idara ya Habari MAELEZO, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan
Abbas, (kushoto), akikabidhiwa fomu ya uanachama wa Mfuko baada ya kufanya
taratibu za kuijaza fomu hiyo, Desemba 5, 2016. |
 |
| Dkt. Abassa, akijaza fomu hiyo kwa usaidizi wa Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF, Bw. Abdul Njaidi (kulia) |
Dkt. Abass(kushoto), akiweka dole gumba kwenye fomu hiyo
Dkt. Abass (kushoto), akIwia amekamata
fomu hiyo kabla ya kuijaza wakati Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF, Bw.
Abdul Njaidi, akimpatia maelezo zaidi ya utaratibu wa kujaza fomu hiyo
Dkt. Abbas, akiongozana na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF, Bw. Abdul Njaidi, kuelekea ofisini kwake tayari kujaza fomu hiyo
Dkt. Abassa, akizungumza na Mwenyekiti
wa Mtandao wa Bloggers Tanzania, (TBN), Bw. Joachim Mushi, (wapili
kulia) na Katibu wa TBN, Bi. Khadija Khalili (watatu kulia), na Afisa
Uhusiano Mwandamizi wa PSPF, Bw. Abdul Njaidi, muda mfupoi baada ya Dkt.
Abbas, kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa TBN kwenye ukumb PSPF ni mmoja wa wadhamini wa Mkutano huo.i wa Golden
Jubilee Towers jijini Dar es Salaam, Desemba 5, 2016. PSPF ni mmoja wa wadhamini wa Mkutano huo.
No comments :
Post a Comment